GE2025 Aweso: Tutafanya kampeni za kistaarabu pangani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Aweso amepokea fomu hiyo leo, Agosti 26, 2025, kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Pangani, Juma Bwela, katika hafla iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi na wajumbe wa CCM waliomsindikiza.

Your browser is not able to display this video.

Akizungumza na wanahabari baada ya kuchukua fomu, Aweso amewaomba wanachama na wananchi wa Pangani kuendelea kujitokeza kwa wingi kusaka kura za CCM, akisisitiza kuwa mchakato wa uchaguzi bado unaendelea na ushindi wa chama hicho ni heshima kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aweso amesema moja ya changamoto kubwa iliyokuwa inakwamisha maendeleo ya Pangani kwa miaka mingi ni barabara ya Tanga–Pangani–Saadani–Bagamoyo, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia changamoto hiyo imeanza kutatuliwa kwa barabara na daraja kuanza kujengwa. Amesisitiza kuwa utekelezaji huo ni ushahidi wa dhamira ya dhati ya serikali kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.

“Hakuna demokrasia ya kupata viongozi zaidi ya uchaguzi, kwahiyo niwaombe ndugu zangu wa Chama Cha Mapinduzi na Wanapangani, hatujamaliza uchaguzi, twendeni tukazisake kura za CCM, kura za heshima kwa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan”, ameeleza Aweso.

Kwa upande wao, wajumbe wa CCM Pangani na wananchi waliohudhuria wameeleza dhamira yao ya kuendelea kumpa kura Aweso, wakimtaja kama kiongozi mchapakazi na mwenye dira ya maendeleo, wakibainisha mchango wake katika sekta ya maji, elimu, na mikopo kwa wanawake, vijana na wenye uhitaji maalumu
 
Kwa upande wao, wajumbe wa CCM Pangani na wananchi waliohudhuria wameeleza dhamira yao ya kuendelea kumpa kura Aweso, wakimtaja kama kiongozi mchapakazi na mwenye dira ya maendeleo, wakibainisha mchango wake katika sekta ya maji, elimu, na mikopo kwa wanawake, vijana na wenye uhitaji maalumu.
 
Takataka, kampeni na nani?
 
Stupid. Campaign ya nini ilhali matokeo wanayo tayari? Hizo fedha za campaign zipelekwe kwenye health centers zikasaidie kutibu wagonjwa!
 
"TUTAFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU", AWESO ACHUKUA FOMU PANGANI

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Aweso amepokea fomu hiyo leo, Agosti 26, 2025, kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Pangani, Juma Bwela, katika hafla iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi na wajumbe wa CCM waliomsindikiza.

Akizungumza na wanahabari baada ya kuchukua fomu, Aweso amewaomba wanachama na wananchi wa Pangani kuendelea kujitokeza kwa wingi kusaka kura za CCM, akisisitiza kuwa mchakato wa uchaguzi bado unaendelea na ushindi wa chama hicho ni heshima kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aweso amesema moja ya changamoto kubwa iliyokuwa inakwamisha maendeleo ya Pangani kwa miaka mingi ni barabara ya Tanga–Pangani–Saadani–Bagamoyo, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia changamoto hiyo imeanza kutatuliwa kwa barabara na daraja kuanza kujengwa. Amesisitiza kuwa utekelezaji huo ni ushahidi wa dhamira ya dhati ya serikali kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.

“Hakuna demokrasia ya kupata viongozi zaidi ya uchaguzi, kwahiyo niwaombe ndugu zangu wa Chama Cha Mapinduzi na Wanapangani, hatujamaliza uchaguzi, twendeni tukazisake kura za CCM, kura za heshima kwa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan”, ameeleza Aweso.

Kwa upande wao, wajumbe wa CCM Pangani na wananchi waliohudhuria wameeleza dhamira yao ya kuendelea kumpa kura Aweso, wakimtaja kama kiongozi mchapakazi na mwenye dira ya maendeleo, wakibainisha mchango wake katika sekta ya maji, elimu, na mikopo kwa wanawake, vijana na wenye uhitaji maalumu
 
Tanga kuna shida ati LIMEPATA KURA 100% Sasa hii Ina tofauti gani na kupita bila kupingwa?
Ukiongea usifoke kama CHIZI ALIYESAHAU KWAO
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…