Mmm,pole kwani umeachwa eeh?Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.

Nimeachwa siku ya valentine
Mbona ukii quote post yako I'd yako haitokezi, au ana I'd mbili @----- au I'd yako inavunja sheria za JF.Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
Nimeachwa siku ya valentine
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
ntautafutadu!! j cole~ she know