www.nacte.go.tzChuo chako kimepeleka matokeo nacte? Kazi iliyobam simple Ingia www.nacte.com Chagua unachotaka kama ni AVN click apo utapata
Huo mwaka 2107 Umefikaje ndugu au umegundua time machine , sijui tuseme umechelewa au umewahi maana hii ni 2018 president wetu anajiita yeye .......... ,Habari za muda huu,
Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma 2107, sasa nilikua nataka kupata Award Verification Number ili niweze kuendelea na elimu ya juu. vitu gani napaswa kuwa navyo ili nipate hiyo AVN.
ASANTE
Unaijua registration namba yako , inakua hiviChuo tayari wamepeleka matokeo, nikiingia kujaza taarifa zangu wanasema "Registration Number and Year of Graduation are not in our database". Hapo ndio nmekwama
2107 aiseeeEdit hapo kwenye mwaka kwanza