aWaNaJaMiI mSaAdA UNLOCKING CODES ZA HUAWEI E303 AU HATA LINK YA UNLOCKING SOFTWARE

aWaNaJaMiI mSaAdA UNLOCKING CODES ZA HUAWEI E303 AU HATA LINK YA UNLOCKING SOFTWARE

Ni modem mpya toka voda,Huawei E303!!pliiiiiiiiiiiiz wadau:bange:


Ni aina gani ya kufanya una Modem au simu? urahisi unaweza kufungua wote kwa kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua kanuni unaweza kutembelea tovuti hii Theunlockspot.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua huawei yako e303 urahisi.
 
alafu namm nataka entaface yake, inafungukia kwenye window exploler!
 
I`ll Post a Guide Later, Ngoja, ni upload the files za kutumia kwenye dropbox yangu, then write a guide for u guys...
Screenshot (5).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom