Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,482
- 24,592
Ni ujinga uliokithiri kwa watanzania kama posti hii kufikiri miradi inasimamiwa na mawaziri.Yule alijenga banda la kuku kwa mil 100 alikuwa ana mdharau nani !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachojaribu kukueleza ni kwamba, inawezekana vp mkandarasi alipwe milioni 100 ilihali analipwa baada ya kuissue certificate? Sasa upande wa serikali ulikuwa wapi hadi mtu anaissue certificate ya m100 kwa kazi ya m4? Ww unaona ni sawa?Wewe utakuwa na matatizo makubwa kwenye akili zako!