Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,903
- 7,813
Sasa ni miezi mitatu na siku kumi za awamu ya tano.Rais anataja mafanikio
anataja daraja la Kigamboni ambalo simpi alama yaani point nampa JK. Anaahidi daraja jingine hajatueleza kwa umuhimu gani kwa makubaliano bunge lipi , namkata point. Rais anaongelea mapungufu mapya muhimbili na bandarini ,hii ina maana kuwa watendaji wakuu wizarani na kwenye hizo taasisi hawajapewa mikakati ya kimifumo. Tumeishia kubweka katika vi idara tu. Unaloliona wodi moja utaliona wodi za hospitali zote za serekali,na wahusika wanafanya siri.Magufuli asiishie kusema anahitaji sapoti ya wananchi wa imani makabila na kada zote.Wakati moyoni ana kinyongo na kuamini kwenye majeshi amri kama turufu ya kisiasa.Watamshangilia wanafiki lakini wanaoelewa ambao sasa ni wengi wanashika midomo. Mwenendo wetu kidiplomasia ni jambo la kujadili muda wote
yetu macho, msuli,the Godfather