Avn number

Otman Moood

Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
47
Reaction score
20
Kwa ambae amekwama kupata Avn number , kwa ajili ya application nixext kwa 0622569980 Nikuelekeze free
 
Tunaomba utuelekeze hapa hapa kiongozi iwe manufaa kwa wote na hata wasiomiliki namba za simu
 
Sasa Kila mtu ana Changamoto yake ila kwa ku summarize mfumo WA Sasa WA Avn ni mpya so jaman tuhakiki taarifa zetu vizuri kabla ya kujaza
 
Na wengine mnajua application mbali mbali za Vyuo Tuwasaidie wenzetu
 
Mkuu Avn ni namba ambayo HUTOLEWA na nactvet kuwathibitisha wanafunzi walomaliza diploma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…