Aviator Casino Trick

Aviator Casino Trick

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,091
Reaction score
1,915
ANGALIZO > NJIA HII HAIKUBARI KWENYE AVIATOR ZOTE .

Kabla hatujaenda moja kwa moja kwenye mbinu tuanze kwanza kuelewa Algorithm ya mchezo ,

Michezo mingi kama sio yote ya casino ime designiwa kuhakikisha kuwa casino inapata faida hinyo wanao cheza lazima wapate hasara kwa ujumla wao

Mfano
Aviator saa sita kamili usiku ina reset orders na kuanaza mzungunguko mpya so tuseme inaanza na milioni moja basi kama mtaji mpaka ifike saa sita lazima iwe na milioni 10 au zaidi so kama utakuwa ume pata faida kwa kucheza basi ni pesa ya alie cheza akalilwa na sio casino.

Pia matokeo huwa ni tofauti kwa kila mchezaji , ayani kama tupo wawili tunacheza aviator kwa wakati mmoja basi matokeo yangu na mwingine hayata fanana kila mtu ana kuwa na yake kutokana ulivyo kula au kuliwa

Kuna matoke ya aina tatu ,
kuna matokeo ya bila stake , yake haya ni yale matokeo utayaona kama hujaweka dau ,haya huwa yanapanda hadi 10 au 100 hii ni kukuvutia ,

Kuna matokeo ya ukiwa umeweka stake ilio chini ya average stake kwa tz hii 10,000/- ,haya ni matokeo katili zaidi kwenye game , kwasababu bdio kundi kubwa na ndio la kumpa faida kubwa casino hivyo hili kundi matokeo yake kuna muda ni 1.00 yani hakipai kabisa na huwa hakuna mshindi hapo ,

Kisha kuna matokeo ya ukiwa umeweka stake ilio juu ya wastani yani 10,000 au zaidi , hili kundi ni kama vip huwa wana matokeo tofauti kidogo ukilinganisha na wale chini ya 10 ,
hapa huwa hakuna 1.00 ila haipa sana mpaka ikutafune kwanza

JINSI YA KCHEZA KWA FAIDA

1. kwanza kabisa lazima ucheze stake ya above average
2. unaanza kwa kucheza unacash put kwenye 1.01 huku unaangalia ina paa mpaka ngapi maana yake hapa utakuwa una ona flight za with stake amabzo ndio real huku kibunda chako ume kusha ki cash out
3. always huwa haizidi 2 au haifiki kwa flight 3 mpaka 5 za kwanza wewe una zi observe tu ukisha ona zimeanza kufuka 2 maana yake hapo systerm ian assume kwa outut zake na uliweka pesa ni lazima ina faida , so unaanza move ya kucheza cashout ya 2 mzunguko wa pili tuh baada ya kuona ime fika 2 usia che hata mmoja

lazima ifike 2 kwa mizunguko mi wili hadi mi 5 wewe cheza mmoja tu uwe na capita x 2

Ikisha kuwa hivyo toa pesa kafanye mambo mengine au kama unataka kiuendelea kucheza kwa kurudia method badirisha accout tumia accoutn tofauti kabisa rudia method utakula ,, ukitumia accout ile ile unapasuka na utarudisha hela ,

Ili kutumia account tena subiri hadi saa 6 siku inapo badirika , yaani kwa kifupi tumia account mara moja tu kwa siku.
 
Back
Top Bottom