Waaaaw wanateknohama
kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player
Sasa baada ya ku google nimekutana na misamiati kibao kwa hiyo nahitaji ushauri wenu kwa wajuvi
- Ni software gani nzuri kwa ajili ya kufanya conversion za kutoka avi kwenda VOB au format yeyote ile inayoweza kuchezeka kwenye DVD
- Niformat zingine zaidi ya VOB zinazoweza kuchezeka kwenye DVD player. eg MPEG2
- Kuna software moja nimejaribu kutumia trial version ikaniuliza nichague picture/video standar kati ya NTSC na PAL. Sasa kwa Natakiwa kuchagua ipi na tofauti ni nini?
- Vile vile nikauliza nichague size ya video . Sasa kwa nikitaka video inekna bila black sreen juu na chini natakuwa kuchgua size gani yaani pixel.
nawasilisha
- Na mwisho hii misaimiati ( DivX na XviD) nimektana nayo sana wakati nasoma soma haya mambo ya DVD player kama kuna anayeweza kunipa mwanga anielimishe anipe link yenye maelezo mazuri
Mkuu total video conveter...inafanya mambo haya yote..kuna thread humu invisible aliwek kitambo kama mwaka ina link ya software hii kwa ajiri yako...hili swala la miziki movie kwenda kwenye format ingine mie nilishaona kama sasa kwangu hakuna nisicho weza angalia kabisa...chochote kila....
google how to put DRM in Dvds!
vipi hivyo vya watu nilivyotaka freee ? tehteh teh tehunataka vyawatu for free vyakwako unataka kuprotect? kama ni hivyo toa ela kupata software hizo tunazo.
Na je nikitengeneza DV nikata niifanyie pritection isiwe copied nifanyeje?
- Najua hakuna njiia inyoweza kuzia DVD isiwe copied hata 80% but nataka kujua kama zipo njia za kuweza ku protetc DVD japo kwa 50%. yaani mtu akitaka kucopy inamkatisha tamaa na kuumpa ujumbe kuwa DVD iko protected.
Ebu gonga hapa kupata Total video convetor ambapo hapo utabadalisha format utakayo na unaweza kupata elimu zaidi hapo
Total Video Converter supports generating the following file formats:
Video Formats:
Convert to MPEG4(.mp4)
Convert to 3gp(.3gp, 3g2)
Convert to Game Psp (.psp)
Convert to MPEG1 (.mpg, mpeg)
Convert to NTSC, PAL DVD mpeg and Burn to DVD disc
Convert to NTSC, PAL SVCD mpeg and Burn to SVCD disc
Convert to NTSC, PAL VCD mpeg and Burn to VCD disc
Convert to Ms Mpeg4 AVI (.avi)
Convert to Divx AVI (.avi)
Convert to Xvid AVI (.avi)
Convert to H264 AVI (.avi)
Convert to Mjpeg AVI (.avi)
Convert to HuffYUV AVI (.avi)
Convert to Swf Video (.swf)
Convert to Flv Video (.flv)
Convert to Gif Animation (.gif)
Convert to Mpeg4 Mov (.mov)
Convert to Apple Quicktime (.mov)
Convert to DV (.dv)
Convert to WMV (.wmv)
Convert to HD Mpeg TS (.ts)
Convert to ASF (.asf)
chanzo http://www.effectmatrix.com/total-video-converter/
Ile DV nilimaanish DVD lakini hiyo link iliyonipa nia ya kuprotect file from acess. mimi nataka kujua software bora ya copy prtection kwa ajili ya CD na DVD. Hinkx kanishauri DRM but kwangu si sahihi