Avengers: Doomsday inachanganya kinoma!

Avengers: Doomsday inachanganya kinoma!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,144
Reaction score
88,811
Hii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.

Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.

Nimeona Thor amekua serious sasa hivi. Taika Waititi alimuharibu akawa mchumba.

X-Men na Fantastic 4 kuingia Avengers man. MCU mnatumix jamani.

BTW nadhani ndio movie kali ya Marvel since End Game.
 
Ukitazama hizo muvie uwe unazielewa vzr na hata ambayo inatarajia kutoka unatakiwa kuelewa maana huwa wanaweka short info.
Aliyeonekana akifanana kwa huyo jamaa(iron man) si iron man wa series nzima ya Avengers mpaka kufa kwenye end game, huyu ni character tofaut anaefanana na iron man kutoka universe nyingine, kama umeangalia na kuielewa ile latest spider man (No way Home) utaelewa hata hii Avenger mpya
 
Naelewa concept ya Multi-universe. Iron Man Marvel bado hawajasema kaa atarudi, same as Cap ila wamesema Steve Rogers. Maybe wanaweza kua wametoka universe nyingine kweli ila huku wasijulikane kaa Cap wala Iron Man.

Steve alisema anafurahi kuretire character yake, seems kweli Captain hatokuwepo.

Teaser ya last week Steve ameshika mtoto unaona kabisa anashi normal life ila still ana suit ya Capt. America.

Tutashangazwa na mengi.
 
Siku ikija cinema nitaifuata huko huko cinema
 
Kweny endgame steve roger aliporudi kweny past timeline ili kuishi na peggy alisababisha incursion, i guess umeshaangalia dr strange 2 nafikiri unaelewa kuhus incursion ,so dr doom kutoka earth 828 tumeshamuona kweny fantastic 4
Ukitazama hizo muvie uwe unazielewa vzr na hata ambayo inatarajia kutoka unatakiwa kuelewa maana huwa wanaweka short info.
Aliyeonekana akifanana kwa huyo jamaa(iron man) si iron man wa series nzima ya Avengers mpaka kufa kwenye end game, huyu ni character tofaut anaefanana na iron man kutoka universe nyingine, kama umeangalia na kuielewa ile latest spider man (No way Home) utaelewa hata hii Avenger mpya
Dr doom kutoka earth 828 kama umeshaangalia fantastic four 2025
 
Naelewa concept ya Multi-universe. Iron Man Marvel bado hawajasema kaa atarudi, same as Cap ila wamesema Steve Rogers. Maybe wanaweza kua wametoka universe nyingine kweli ila huku wasijulikane kaa Cap wala Iron Man.

Steve alisema anafurahi kuretire character yake, seems kweli Captain hatokuwepo.

Teaser ya last week Steve ameshika mtoto unaona kabisa anashi normal life ila still ana suit ya Capt. America.

Tutashangazwa na mengi

Deadpool na Venom wataingia MCU kituko itakua
Wote watakuepo nahisi
 
Hii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.

Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.

Nimeona Thor amekua serious sasa hivi. Taika Waititi alimuharibu akawa mchumba.

X-Men na Fantastic 4 kuingia Avengers man. MCU mnatumix jamani.

BTW nadhani ndio movie kali ya Marvel since End Game.
Kama umeangalia dr strange 2 utakuwa unaelewa maana ya incursions sina haja ya kuelezea sana,avengers walivyo time travelling kwenye endgame walisababisha incursions na pia cap america alipoyarudisha mawe kwenye past timeline na kuamua kubaki ili aishi na peggy in past pia hii ilisababisha incursion katika multiverse ,hivy dr doom tuliemuona ktk fantastic 4 2025 post credit scene,anamua kumchukua mtoto wa susan na reed aitwaye franklin richard ambae ndie the most powerful character in mcu ,kwanza atakuja earth 616 na kuwauwa kang wote kisha kupambana na loki ambae ndiy alieshikilia multiverse nzima ,iam just thinkin
 
Komando kichupi atakuwepo, kama hayupo hiyo movie siangalii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom