Ya Rejao mbona ipo bomba sana?Mie ya Rejao ndio inaniachaga HOI kwa kweli...........
ngoja niitafute hiyo ...
Hujambo??
Nashukuru kusikia hivyo...
pande zipi hizo dear ..
you mean Nyanda za juu??
Mbona hufungui mlango sasa..??
Lol..upo juu mamaa! Kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo!I thought is Mr.Burn (from The Simpson lol)
Ya Rejao mbona ipo bomba sana?
Halafu ndio real him
Mbona ulibadilisha Avatar yako?mimi ya the priest inaniacha hoi...