Automatic Transfer Switch

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
252
Reaction score
423
Wana Umeme, Automatic Transfer Switch ATS ni ipi Ni kiwa na Maana ATS inaweza Kutransfer load from one source of power to another whether Utility au Backup power Nataka Kujua Je ATS inapofanya Transferred hakuna Delay of time? Je hio delay of time haiwezi kuathiri load mfano TV, Au computer ikazima? Je linapokuja Swala kuweka uninterrupted power supply UPS ina maana ndio kukwepa Delay of time? Je kwenye UPS load inachukua direct to UPS au inverter mana Ups si ina battery au? Ivo pakiwa na outage Battery inaendelea kupower load ile hali Ups iki subiri standby power yani back up Iwake ama?
 
ATS hua ni kwa heavy duty loads (fridges, a/c,lighting , motors) ambazo lazima kuwe na time lag ya kutosha (>1sec) kabla ya dynamic back up (generator) kuingia/kutoka .

UPS (static back up) hua ni kwa light loads, non linear loads wenzake mf; tv,laptop,desktop zenye ku run kazi muhimu zisizoitaji kujizima ghafla, delay kwa UPS ni ndogo mno, (pico sec or less) , kwa namna hii iyo desktop haitaweza kupata nafasi ya kuzima

kiufupi tu UPS ina bettry ambayo hua recharged na Mains ya PoCo ( Tanesco ), na Inverter + na takataka nyingine uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…