Connect General Supplies ni wasambazaji maarufu wa Mashine za Kisasa Automatic za Kutotolesha vifaranga vya Kuku, Kwale, Kanga, Bata n.k.Mashine zinasifika kwa ubora na uimara wake wa hali ya juu wenye kuleta manufaa makubwa kwa wafugaji na zinauzwa kwa bei nafuu
Sifa za Mashine
Zinatumia Umeme Kidogo-Voltage:110V- 220V
Machine zinatotoa zaidi ya asilimia 95% ya mayai yote. Kila machine ina tochi maalum ya kukagua uhai wa yai
Full Automatic Zina mfumo wa ndani wa kugeuza mayai, kuthibiti Joto na Unyevu ndani ya mashine (Computerized systems)
Zinatunza joto kwa muda wa saa 6 baada ya umeme kukatika
Kila trai ya mayai ina sehemu ya kuangulia vifaranga (Combined hatcher & Setter
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM- MAKUTANO YA TEGETA NAMANGA NA ZOO ROAD. P.O Box 34329 Dar. Simu: 0767 509 226/ 0763 973 533;