Habari wana jf mimi nina gari lenye automatic gearbox gari hili limeninyima raha kwani ninapotembea huishia gia no 4 na si zaidi ya hapo hata kama nikikanyanga mafuta halibadiliki zaidi ya mshale wa rpm kupanda sana sasa nifanyeje na mafundi wapo mbali na mahali ninapofanyia kazi? Msaada kwenu