E emkay Member Joined Sep 3, 2017 Posts 64 Reaction score 55 May 5, 2025 #1 Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa
Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,712 Reaction score 19,179 May 5, 2025 #2 Pole sana
S Sally82 Member Joined Apr 2, 2012 Posts 25 Reaction score 19 Sep 11, 2026 #3 emkay said: Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa Click to expand... Habari yako? Vipi ulifanikiwa kupata shule maalumu au alienda shule ya kawaida? Unaweza kutusaidia majina ya shule zinazotoa huduma hiyo?
emkay said: Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa Click to expand... Habari yako? Vipi ulifanikiwa kupata shule maalumu au alienda shule ya kawaida? Unaweza kutusaidia majina ya shule zinazotoa huduma hiyo?