sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu vyombo vya hali ya hewa vinavyo heshimika duniani vimekwisha downgrade hiyo warning hawa kina kijazi wanasababisha foleni zisizo za lazima dar es salaam ama kweli hili ni taifa la majinga tena majinga kabisa
hakuna tishio lolote us geological survey na vyombo vingine wamekwisha lift alert status....ni ujinga tu wa watanzania ndio maana tunaacha kazi kujazana kwa mazishi ni ujinga tukwa hiyo ulitaka wawe perfect?ndio maana ukaitwa utabiri!umepost saa moja kasoro kwa hivyo tishio halijaondoka.
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu vyombo vya hali ya hewa vinavyo heshimika duniani vimekwisha downgrade hiyo warning hawa kina kijazi wanasababisha foleni zisizo za lazima dar es salaam ama kweli hili ni taifa la majinga tena majinga kabisa
US na Tanzania ni mbali sana!hakuna tishio lolote us geological survey na vyombo vingine wamekwisha lift alert status....ni ujinga tu wa watanzania ndio maana tunaacha kazi kujazana kwa mazishi ni ujinga tu
Mimi naongelea unnecessary panic hawa tma wanasababisha kwa public....they dont follow and beef up the public na latest updates kutoka kwa wenyewe waliobobea na mambo hayo.....ni ujuha tu hamna lingine
kuna mtu yuko kurasini ameniambia nyumba yake imepata tetemeko,huwezi kuignore warning iliyotolewa.
Hata tma hawawezi kuondoa tishio kisa usa wameshaondoa!