AUSTRALIA: Gov. Apology To Aborigines

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Source: CNN-World


SteveD.
 
This is another way of saying we are NOT paying you a dime..kama UK with their sorry for slavery BS...Lakini they wer soo quick to pay the jews..even got them their own country...leading to the mess we have in the middle east...yani..kaaaz kweli kweli
 

Halafu sasa jinsi hao Waingereza walivyokuwa mstari wa mbele kuazimisha kila aina ya vita waliyopigana kisha kushinda au kushindwa.... maadhimisho karibu kila mwaka huko kwao, prisoners of war bado wanadai haki zao na kuhitaji kutambuliwa kwa hali ya juu.... yaani, wanafiki kweli hawa saa nyingine, hebu fikiria, hadi 'battle of trafalga' zaidi ya miaka miambili iliyopita bado wanasherehekea... lakini kitu chochote walicho kifanya wao zaidi ya miaka 20 tu watasema hiyo ni history.... ulimwengu wa double standards, si unajua tena.


SteveD.
 
Just saying 'sorry' isnt good enough. Is that going to change the lives of Aborigines people? Is that going to erase the memories of the emotional and psychological torture they have had to deal with?
 
In Prime Minister's Speech there is no explanation on why the laws and policies of successive parliaments and governments of white Australians had inflicted profound grief, suffering and loss on their fellow Australians the Aborigines.

The Australian capitalist-settler society was established in 1788and was based on the private ownership of land. This is what brought it into head-on collision with the Aboriginal people who had inhabited the continent for the previous 40,000 years. They had to be cleared from the land by any means possible—shooting, poisoning and the introduction of diseases.

Wa-Astralia walitegemea kwamba kwa kuondoa wale Aborigines machotara kungeondoa kabisa rangi ya mtu mweusi na kuitokomeza kabisa na kupata rangi ifananayo na ya kwao wazungu!

Lakini kwa kudra za mwenyezi Mungu, mtu mweusi ni imara popote pale alipo na wa-Aborigino wanaishi hadi kesho.

Wazungu ni watu wa ajabu sana!
 
Just saying 'sorry' isnt good enough. Is that going to change the lives of Aborigines people? Is that going to erase the memories of the emotional and psychological torture they have had to deal with?

Yeah, as you are saying, Sorry is not good enough, though inaonyesha kujali na kukubali kwamba ni kweli walikosea/wanajutia (doesn't matter kama mioyoni hawamaanishi).

Forgive and forget (Japo kusahau ni ngumu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…