Ukipishana na mtu ananuka pafyumu au mtu kajipigilia mapafyumu makali mtaa wa pili yananuka mpaka mtaa wa 4 huko au pishi la pilau lililokolea viungo au dume ambalo halijaoga wiki linaishia kunuka kibeberu sasa ile harufu ambayo ukipishana nae unaisikia ndio sawa na Aura spirit yaan roho yako ndio inanusa roho nyingine isiyoonekana kwamba hapa kuna roho nyingine nimepishana nayo au ipo karibu yangu sio mwili tena