hiyo ni show tu watu mnakamuliwa vijisenti mwisho wa shoo mdada anaenda kulala peke yake anasubiria kurudi dar kwa mtu wake siku zinasonga mbele
Wee umeongea.Muziki wa siku hizi ni porno tu. Jamani huo siyo utamaduni wa mtanzania. Tunaona aibu hata kuangalia TV na watoto wetu.
na we ndo unajiita mtoto mpole. Kwa style hii haponi mtu.Yeah...go on gals tafuten pesa watz kuongea ni kawaida yao ooooh utamadun utamaduni bongo...tafuten pesa katen viuno kwa raha zenuuuuuu..
aah! shilole yupo juu...
wakiwa ndani ya kiota kipya mtwara
MAKONDE BEACH CLUB!
Wanenu😛oa😛oa
View attachment 66851View attachment 66852View attachment 66853
View attachment 66854View attachment 66855kaaazi kweli kweli!
ilikuwa lini hii mkuu?