Ila na hiyo CPA uwe umemaliza. Kama bado una papers unadaiwa; nahisi itakuwa utata endapo GPA yako ya nyuma nayo siyo nzuri sana. Ila pia unaposema auditing firms, you have to be specific, kama ni kwa big four then hiyo assumption ina-apply; but kama ni all auditing firms including small firms, then your scores plus the Module E zinaweza kukusaidia.
But all in all, kila mtu kapangiwa bahati yake na Mungu; kujaribu sio mbaya. Ninakushauri ujaribu...