G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 898 Apr 21, 2011 #1 mbona hii document inafichwa sana?
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Apr 21, 2011 #2 Inawezekana imechakachuliwa maana wagonjwa wanalala chini na vyakula vyao vinaliwa na mapaka yaliyojazana pale. Huduma hamna kila mtu yupo bize kwenye ki dispensari chake binafsi cha mtaani.
Inawezekana imechakachuliwa maana wagonjwa wanalala chini na vyakula vyao vinaliwa na mapaka yaliyojazana pale. Huduma hamna kila mtu yupo bize kwenye ki dispensari chake binafsi cha mtaani.