Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Wapendwa natafuta gari aina ya AUDI A4 au A6. Kwa muuzaji yeyote tuwasiliane PM.
Rangi iwe Silver au Grey au Dark Grey
Mwaka kuanzia 2004 na kuendelea
Inpendeza viti vikiwa Leather ila si kigezo cha lazima.
Ni MUHIMU sana isiwe na historia ya ajali kama atakavyodhibitisha fundi
Asante sana
Audi a6 ata kama ni used sio chini ya 70m
Mkuu Asante kwa ushauri
Kuna mdogo wangu anatumia BMW kila siku wanasema hizo mbovu mara hakuna spea kabisa. Yaani ile gari ina miaka 3 hajanunua spea zaidi ya oil filter na service za kawaida. Ila asante kwa wazo na ushauri
Asante sana Isanga family