Mbalamwezi1 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 2,073 Reaction score 2,027 Jul 21, 2017 #1 Umuofia kwenu wakuu, Jamani naombeni kuuliza,hivi kutoa pesa kwenye ATM au kutoa kwa Wakala wa benki mfano NMB Wakala, wapi kuna gharama/tozo nafuu katika kutoa pesa?! Natanguliza shukrani[emoji120] Sikiliza Toka Kwangu!
Umuofia kwenu wakuu, Jamani naombeni kuuliza,hivi kutoa pesa kwenye ATM au kutoa kwa Wakala wa benki mfano NMB Wakala, wapi kuna gharama/tozo nafuu katika kutoa pesa?! Natanguliza shukrani[emoji120] Sikiliza Toka Kwangu!
dogodogo 2 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 114 Reaction score 61 Jul 21, 2017 #2 Mmmh! Joseverest njoo maana u professional