NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Feb 27, 2013 #21 pmwasyoke said: Ukiiba unakatwa mkono, ukirudia na mwingine unakatwa - sasa hapo kutakuwa na wezi kweli? Click to expand... Na ukizini pia kunaadhabu kali, ukilipua watu wasio nahatia unapewa nishani!
pmwasyoke said: Ukiiba unakatwa mkono, ukirudia na mwingine unakatwa - sasa hapo kutakuwa na wezi kweli? Click to expand... Na ukizini pia kunaadhabu kali, ukilipua watu wasio nahatia unapewa nishani!
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,109 Feb 27, 2013 #22 sidhani hata kama umeme upo kwenye hiyo nyumba
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Feb 27, 2013 #23 Ndio wazo lililonijia Naiba hadi ukuta King'asti said: Waswahili noma, itaibwa na ukuta mzima wakanyambulie mbele ya safari! Click to expand...
Ndio wazo lililonijia Naiba hadi ukuta King'asti said: Waswahili noma, itaibwa na ukuta mzima wakanyambulie mbele ya safari! Click to expand...
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 28, 2013 Thread starter #24 njiwa said: sidhani hata kama umeme upo kwenye hiyo nyumba Click to expand... Umeme upo ila ni ule wa wizi wakuchimbia chini.
njiwa said: sidhani hata kama umeme upo kwenye hiyo nyumba Click to expand... Umeme upo ila ni ule wa wizi wakuchimbia chini.
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 28, 2013 Thread starter #25 Kongosho said: Ndio wazo lililonijia Naiba hadi ukuta Click to expand... Halahala, utashangaa umeiba kesho unakuta nyingine.
Kongosho said: Ndio wazo lililonijia Naiba hadi ukuta Click to expand... Halahala, utashangaa umeiba kesho unakuta nyingine.
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Feb 28, 2013 #26 ha ha ha hapo mwizi anabeba na hiyo nyumba