NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Jua siku hizi linawahi kutoka kwa walio Dar wanajua ila kama upo Kigoma huko hauwezi jua kiongozalfajiri ya saa 11.30 akakuona na akakutambua!
Changu huwaga nao wanakuwaga na wivu kwani?hii ya kwanza kuiona Dar hiiUmefumwa bhana acha kuzuga
We uliposimamia kucha ulitegemea akusahau kirahisi?Changu huwaga nao wanakuwaga na wivu kwani?hii ya kwanza kuiona Dar hii
Kwani si nilimpa chake tukamalizana..huwa sijuagi kama huwaga nao wanakuwaga na hisia za mapenzi kama wengineWe uliposimamia kucha ulitegemea akusahau kirahisi?
Nao ni watu mzee!Kwani si nilimpa chake tukamalizana..huwa sijuagi kama huwaga nao wanakuwaga na hisia za mapenzi kama wengine
Hahahaha hapo kweli kakaTatizo ulikaaa naye akala biaa na nguruwe so akajua unachumbia
Hahaha aliona kapata bebiTatizo ulikaaa naye akala biaa na nguruwe so akajua unachumbia
Inategemea kama jamaa ni loyal customer hasa yule wa kufungia hesabu yaani anamchukua mida mibaya hadi asubuh lazima ammaind na anaweza akawaambia machangu wenzake kuwa "yule jamaa mwenye ki vitz ni off limit mpaka nikuruhusuni kuliwa nae"Changu huwaga nao wanakuwaga na wivu kwani?hii ya kwanza kuiona Dar hii
Wewe umemgegeda mara nyingi bwana!usiogope hata sisi tumeshawahi kuwa regular kwa machangu fulani fulani yaani unaenda kumsaka yeye tu . ila sijakuuliza ni wale wa display barabarani au wale wanaojifanya ma barmaid ,waitress katika mahotel au wale salon na massage parlours?Kwani si nilimpa chake tukamalizana..huwa sijuagi kama huwaga nao wanakuwaga na hisia za mapenzi kama wengine
Wa barabaran nduguWewe umemgegeda mara nyingi bwana!usiogope hata sisi tumeshawahi kuwa regular kwa machangu fulani fulani yaani unaenda kumsaka yeye tu . ila sijakuuliza ni wale wa display barabarani au wale wanaojifanya ma barmaid ,waitress katika mahotel au wale salon na massage parlours?
Wa barabarani na barmaid si rahisi kukuganda ila hao waliobaki tena wengine unaweza usijue kama umekumbana na machangudoa japo siku hz wanajiita wanadanga
Huyo amefall inaonekana ulimpa show ya kibabe sio ya genye genye!Wa barabaran ndugu
Wanachuo kwa kuopoa hamjambo!Umenikumbusha mbali mzee baba miaka 14 iliyopita nikiwa chuo first year kuna club flani nilikuwa napenda sana kwenda sasa kulikuwa na changudoa alikuwa anajidai beib wangu . Yaani nisicheze na malaya mwingine au kugonga nae nyagi alikuwa anawasha moto balaa.