Ati Porsche haikwami

Hakuna gari isiyokwama. Hii niliithibitisha siku nilipokwama. Gari yangu ni gari niliyokuwa naiamini kuwa haiwezi kukwama eneo lolote. Gari iyo ilikuwa na vitu vifuatavyo. Kwanza ina diff lock. Hii kazi yake ni kuyafunga matairi ya nyuma yazunguke kwa pamoja na kuzuia spinning au slipery ya tairi moja. Pia ina four wheel drive ambayo hufanya matairi ya mbele yaweze kuzunguka. Pia ina tairi zenye kashata... Kwa vitu hivyo hapo nilijihakikishia kupita kila sehemu bila shaka yoyote, lakini bado nili kwama....
 

E bana usinikumbushe safari yangu ya mwisho kwenda Lindi na Mtwara ilikuwa mwezi wa nne 2001. Sijui hata uwe na gari ya aina gani bado ungekwama. Labda ile barabara sasa imetengenezwa sijui!
 
E bana usinikumbushe safari yangu ya mwisho kwenda Lindi na Mtwara ilikuwa mwezi wa nne 2001. Sijui hata uwe na gari ya aina gani bado ungekwama. Labda ile barabara sasa imetengenezwa sijui!

Siku hizi ni mkeka 6 hrs ushafika
 
Siku hizi ni mkeka 6 hrs ushafika

Hiyo ni habari njema, manaake nakumbuka ile safari tulivuka mto Rufiji saa umi na mbili jioni tukafika kwenye kile kijiji kinachoitwa Somanga hasubuhi ya siku ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…