ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Endelea kushangaa kuna watu waliitwa manyani, mambwa wanabweka bweka hovyo na bado wamwambiwa wamlipe faini mil 350 yule aliewqtukanaTz hakuna wajuz wa mpira,wengi ni wakurupukaji,na wana mahaba ya kijinga na hz timu
Unashangaa Simba ilifanya vibaya,Mo anakimbilia kwenye mitandao ya kijamii na kuandika utopolo,huwa nashangaa sana
Si na nyie mbwa wengine eti mnataka kocha mwingine mnamdharau mgunda kwa vile mweusi!Sema UTO wengi mjirekebishe
Msituingize Simba kwenye unyani, na uumbwa wenu
Kocha huwa anapewa malengo kwenye mkataba. Nabi inawezekana kipengele mojawapo ilikuwa kuingiza timu makundi ya klabu bingwa na ameshindwa kwa misimu miwili mfululizo.Watanzania tubadilike
Kocha hajafungwa game yeyote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa,leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai!
Majuzi hapa kocha wa Azam nae alikaribia kupindua meza kwa kucheza vizuri bahati mbaya refa nae aliwaangusha lakini walishinda mchezo...kwa bahati mbaya anakuja kupoteza game moja tu ktk ligi basi ameonekana hafai!
Ihefu anasua sua na leo tena kapigwa na Singida,lakini kwao husikii presha ya mwalimu kufukuzwa!
Watanzania tujirekebishe tusiwe wakurupukaji...kuna mahali hatuko sawa...tuwe na subira na tujifunze na tujijue tupo level gani ya kiwango cha soka duniani....tujiulize wachezaji wetu ni wa viwango vya thamani ipi?majuzi tumesikia tetesi za kocha Svern kishingo kutajwa kuwa anaweza kurudi simba! Unajiuliza kwanini aliondoshwa?
Mgunda huyo ameonyesha rekodi nzuri toka ajiunge hapo simba lakini leo anaonekana hafai!
Tunajielewa kweli?
Hata Pep akitua hapa Tanzania naamini atafurushwa tu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hao wanosema Nabi asepe ni mashabiki wa Simba maana wanajua tangu Nabi aje kwao ni kikwazo kikubwa sana hasa kupata matokeo dhidi ya Yanga, Ila Yanga wenyew wala hawana shida na kocha wao wanampenda sana
This is Africa Soccer ( Blaaa blaa)Watanzania tubadilike
Kocha hajafungwa game yeyote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa,leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai!
Majuzi hapa kocha wa Azam nae alikaribia kupindua meza kwa kucheza vizuri bahati mbaya refa nae aliwaangusha lakini walishinda mchezo...kwa bahati mbaya anakuja kupoteza game moja tu ktk ligi basi ameonekana hafai!
Ihefu anasua sua na leo tena kapigwa na Singida,lakini kwao husikii presha ya mwalimu kufukuzwa!
Watanzania tujirekebishe tusiwe wakurupukaji...kuna mahali hatuko sawa...tuwe na subira na tujifunze na tujijue tupo level gani ya kiwango cha soka duniani....tujiulize wachezaji wetu ni wa viwango vya thamani ipi?majuzi tumesikia tetesi za kocha Svern kishingo kutajwa kuwa anaweza kurudi simba! Unajiuliza kwanini aliondoshwa?
Mgunda huyo ameonyesha rekodi nzuri toka ajiunge hapo simba lakini leo anaonekana hafai!
Tunajielewa kweli?
Hata Pep akitua hapa Tanzania naamini atafurushwa tu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hujui football. Acha kusema watanzania. Football iko hvyo dunian kote km hufahamWatanzania tubadilike
Kocha hajafungwa game yeyote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa,leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai!
Majuzi hapa kocha wa Azam nae alikaribia kupindua meza kwa kucheza vizuri bahati mbaya refa nae aliwaangusha lakini walishinda mchezo...kwa bahati mbaya anakuja kupoteza game moja tu ktk ligi basi ameonekana hafai!
Ihefu anasua sua na leo tena kapigwa na Singida,lakini kwao husikii presha ya mwalimu kufukuzwa!
Watanzania tujirekebishe tusiwe wakurupukaji...kuna mahali hatuko sawa...tuwe na subira na tujifunze na tujijue tupo level gani ya kiwango cha soka duniani....tujiulize wachezaji wetu ni wa viwango vya thamani ipi?majuzi tumesikia tetesi za kocha Svern kishingo kutajwa kuwa anaweza kurudi simba! Unajiuliza kwanini aliondoshwa?
Mgunda huyo ameonyesha rekodi nzuri toka ajiunge hapo simba lakini leo anaonekana hafai!
Tunajielewa kweli?
Hata Pep akitua hapa Tanzania naamini atafurushwa tu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mi nshawachoka hao kuwaambia na kuwaonyesha chart. Kweli ni majuha... wakishakomaa na kitu na wachambuzi nao wakishaingilia hapo basi huwaambii kitu.Kwani Yanga imeshinda lini kuifunga Simba Ligi kuu? Mbona naona ni kwenye ngao na Azam Confederation pekee, ambapo Yanga imeifunga Simba mechi 3 kwa magoli 1-0, 1-0 na 2-1 jumla goli 4-1 na ni msimu wa 2021-22 na 2022-23. Huko Nyuma msimu wa kuanzia 2018-2019 mpka 2020-2021 Simba imeifunga Yanga 1-0 Kigoma na 4-1 confederation.
Kwa style hii mpira wetu hautafika popoteKocha huwa anapewa malengo kwenye mkataba. Nabi inawezekana kipengele mojawapo ilikuwa kuingiza timu makundi ya klabu bingwa na ameshindwa kwa misimu miwili mfululizo.
Itakuwa ujinga kuendelea kuwa naye kama hafikii malengo. Suala la kufanya vizuri kwenye ligi hata kina Mkwasa wanaweza kutimiza.
Ulishajua ni kwanini Gomez alitimuliwa Simba akiwa ametwaa mataji yote?
Kwa upande wa kutimua makocha mna tofauti gani?yaani hata hamuelewi mnatafuta nini!!Sema UTO wengi mjirekebishe
Msituingize Simba kwenye unyani, na uumbwa wenu
Hadi sasa mancity hawajanyanyua kikombe champions league lakini umesikia pep anafukuzwa?Hujui football. Acha kusema watanzania. Football iko hvyo dunian kote km hufaham