Mwalimu aliwauliza wanafunzi darasani swli 'nini chanzo cha mwanadamu?majibu yalikua 50 kila mwanafunzi alitoa jibu lake hii ni kwasababu mwalimu hakutoa maana ya mwanadamu hii ilifanya kila mwanafunzi kutoa jibu lake, kosa hili alilofanya mwalimu lilimfanya ajiulize swali gumu lililomchanganya ;je tatizo ni swalii au akili za wanafunzi??kwani iweje swali moja lilete majibu 50??Mantiki inaonyesha huwezi kujibu swali lililokosewa kwa kutoa jibu sahihi. Kudeka kua ugonjwa,tabia,kitu au mnyama inawezekana tuuu kama utaweka bayana nini sifa za huyoo mdogo wako zinazokufanya ujiulize swali gumu ambalo hata mimi naliona umelikosea weka hoja sawa upate majibu sawa. Daktari hawezi kukupa dawa kwa kumwambia tu unaumwaa maana kuumwa kuna maana pana na maeneo yanayouma ni mengi.Hi inamaanisha atashindwa kujua atibu ugonjwa gani?Atibu malaria au mguuuu?mjibu hoja ni dokta lazima uweke hoja sawa.