PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,114
- 29,958
Mkuu gari ya kijerumani bei yake utaiweza?Spidi na nguvu nenda ujerumani,,
Zipo used na bei ya kawaida..ghali spea ila zinadumu na zina nguvuMkuu gari ya kijerumani bei yake utaiweza?
Mkuu hongera hilo gari aisee ni nomaKuna watoto walikuwa na Alteza hawakujua kama huu moto ni hatari niliwapita na kuwatumia hii picha hawakujaribu tena kufuata.View attachment 783802
Mjerumani habari ingine speed yake mpaka 260kphSiku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Ndio tupo nayo hapa Igurusi tunaenda Mbeya.Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Mkuu athlete naona ipo juu kidogo zaidi ya majestaFunga kazi ni Crown Majesta
Dereva wenu alikuwa mwoga sidhani kama voksiwagen anaweza kumuacha kabisa crownSiku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Mwoga spidi 160 to 175?Dereva wenu alikuwa mwoga sidhani kama voksiwagen anaweza kumuacha kabisa crown
Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Fuga is amazing...ni sedan ya kiumeMmejaribu ligi na Nissan Fuga lakini!?.
Hahahaha Mzee Ile Ni Habari nyingine, Unakumbuka picha ulinitumia Ukiwa 180km/hr?? Mzee wewe ni nouma! Unakumbuka Subaru legacy tuliitembeza 180km/hr wakati tunakwenda msibani? Those days DuhMkuu usijaribu kuzifuata hizo gari kama una hiyo ti kwanza zina gia tano kwa taarifa na ingine kubwa