NanukuuMtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%
Hujajibu swali hili
In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake yanaweza kumsababishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
OkeeeeJapo kuwa unachokaindika halina ukweli wowote.
Siku zote wenye Imani kubwa kwa Mola muumba, ndiyo huwa wanapewa mitihani mizito zaidi.
Nafkir hapo kaongea kwa POV ya theist...Nanukuu
"Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katoka accurancy ya 100%"
Kwa lugha nyepesi kabisa bwana scars hata wewe physicological unatambua uwepo wa mwenye enzi Mungu
Kauli ya "Aliyoumbiwa" tayari ishakufunga
Nanukuu
"Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katoka accurancy ya 100%"
Kwa lugha nyepesi kabisa bwana scars hata wewe physicological unatambua uwepo wa mwenye enzi Mungu
Kauli ya "Aliyoumbiwa" tayari ishakufunga
Kutumia akili vibaya sio mapungufu ya akili. Ni kukengeuka matumizi yake. Mungu hakuumba kilichokinyonge.Mungu hajawahi kuruhusu mabaya yatendeke .Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%
Hujajibu swali hili
In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake yanaweza kumsababishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
Huko huko kungengeuka ndio core ya hoja yangu ilipoKutumia akili vibaya sio mapungufu ya akili. Ni kukengeuka matumizi yake. Mungu hakuumba kilichokinyonge.Mungu hajawahi kuruhusu mabaya yatendeke .
Sio matakwa ya Mungu kuzuia akili zetu zisifanye maovu. Angeweza pia kama yangekuwa matakwa yake.
Kukenguka na kutokengeuka vyote viko chini ya uwezo wako. Matakwa ya Mungu sio kuzuia mikengeuko yako kwa kuwa amekupa uwezo wa kutokengeuka.Huko huko kungengeuka ndio core ya hoja yangu ilipo
Kwanini Mungu aumbe ulimwengu wenye watu ambao unaruhusu akili zao kungengeuka na kuwafanya watende mambo maovu?
Ambapo uwezo huo haupo 100% wa kufanya yaliyo sahihi na hapo ndio tunapoona udhaifu wa binadamuKukenguka na kutokengeuka vyote viko chini ya uwezo wako. Matakwa ya Mungu sio kuzuia mikengeuko yako kwa kuwa amekupa uwezo wa kutokengeuka.
Hizo ni hadithi kama za Alfu lela ulela.Soma habari za mitume, manabii na waja wema.
Huwa mkofika hapa kuendelea kujadiliana inakuwa ni kuooteza. Sababu unaonyesha huwajui mitume na nikikuuliza maswali kuhusu haya uliyo yaandika hutaweza, sababu hata hao wakubwa zako hushindwa kujibu maswali yafuatayo baada ya hapo.Hizo ni hadithi kama za Alfu lela ulela.
Unazikumbuka safari saba za Sindbad na mitihani aliyopewa?
Kwa nini unasema ulimwengu unaruhusu kufanyika mabaya?Hizo ni hadithi kama za Alfu lela ulela.
Unazikumbuka safari saba za Sindbad na mitihani aliyopewa?
Two people to populate the entire world through incest. Then a family to repopulate again the world after a global flood.Huwa mkofika hapa kuendelea kujadiliana inakuwa ni kuooteza. Sababu unaonyesha huwajui mitume na nikikuuliza maswali kuhusu haya uliyo yaandika hutaweza, sababu hata hao wakubwa zako hushindwa kujibu maswali yafuatayo baada ya hapo.
Kama unashindwa kutofautisha kati ya habari za mitume na Hadithi za kutunga wewe bado sana katika suala la maarifa na utafiti.
Ngoja nikuache na swali dogo, Hadithi mfano wa Alfu Laylah wa Laylah Zina sofa gani. Yaani ili Hadithi iitwe Hadithi inatakiwa kuwa na sofa gani kwazo zitaitofautisha na kinyume chale ?
Hapa nataka nikupe fundisho kwalo hutarudia tena kuandika huu ujinga.
Kwasababu ya imperfections za ulimwengu ulivo...Kwa nini unasema ulimwengu unaruhusu kufanyika mabaya?
Kwa nini unasema ulimwengu unaruhusu kufanyika mabaya?Ambapo uwezo huo haupo 100% wa kufanya yaliyo sahihi na hapo ndio tunapoona udhaifu wa binadamu
Udhaifu ambao unaonesha haupaswi kumpa lawama mtu kwa jinsi alivyoumbiwa aje kuwa.
Kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hauwezi kuruhusu mabaya kufanyika kwa namna yeyote ile ikiwemo kukengeuka kwa watu?
Zingatia hiyo bolded italic
Kwasababu kuna mabayaKwa nini unasema ulimwengu unaruhusu kufanyika mabaya?
Kwani ulimwengu ndio unaotoa kibali cha kufanyika mabaya?Kwasababu kuna mabaya
NdioKwani ulimwengu ndio unaotoa kibali cha kufanyika mabaya?
Toa mfano kama ni kweli ulimwengu unatoa kibali cha kufanyika mabaya.Ndio
Ulimwengu huu unaruhusu watoto kubakwa au jambo hilo haliwezekani kufanyika kwenye ulimwengu huu?Toa mfano kama ni kweli ulimwengu unatoa kibali cha kufanyika mabaya.
Unao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?Ulimwengu huu unaruhusu watoto kubakwa au jambo hilo haliwezekani kufanyika kwenye ulimwengu huu?