Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,218
Akili zao zimejawa giza kwa vile wamemkataa Mungu...ule ushahidi wa kawaida kabisa ambao unakupa uhakika wa uwepo wa Mungu wao wanaona maruweruwe.Kinachonishangaza hawa watu ukiwaambia injini ya gari imejitengeneza kwa bahati tu watakwambia injini too sophisticated to happen accidentally ila ishu ya hivi viumbe na hii very complicated and systematic universe wanadai imetokea accidentally bila ya kuwa na creater
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hebu chek kuna kisiwa kinaitwa "Surtsey"Kinachonishangaza hawa watu ukiwaambia injini ya gari imejitengeneza kwa bahati tu watakwambia injini too sophisticated to happen accidentally ila ishu ya hivi viumbe na hii very complicated and systematic universe wanadai imetokea accidentally bila ya kuwa na creater
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
What a load of bullshit!Akili zao zimejawa giza kwa vile wamemkataa Mungu...ule ushahidi wa kawaida kabisa ambao unakupa uhakika wa uwepo wa Mungu wao wanaona maruweruwe.
wamekula chakula alichokiumba Mungu wakashiba, halafu wanamkataa mruzuku wao. Kamwe hauwezi kumjua Mungu kwa style wanayotumia atheists.
Mungu huwa anajifunua kwa yeyote amtakaye...hata hawa atheists wa humu iko siku watakutana na huyu Mungu wanayemkana. wengi watakuja tena kutoa shuhuda humu.
Kama kuna viumbe maji vita evolve kuwa nyani ngamia au faru hapo kisiwani njoo uniite mbwa nipo paleHebu chek kuna kisiwa kinaitwa "Surtsey"
Kiliibuka kutokana na volcanic eruption, kilikua lifeless. Scientists wanakimonitor kuona jinsi life inavoform bila human intervention. Sive eco system inaanza kujitengeneza, from NOTHING!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikujuze. Mtu etheist ni mwenye akili kubwa sana. Kua mwema au mbaya iko mkononi mwake sio kutishwa na kuingia motoni au kupewa rushwa ya kuingia mbinguni na kupewa binti bikra mzuri.Salaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
After millions of years?Kama kuna viumbe maji vita evolve kuwa nyani ngamia au faru hapo kisiwani njoo uniite mbwa nipo pale
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hutaki ndefu?Sitaki ndefu nimeuliza hii hii fupi unieleze unavyowajua
Mimi sipo hapa kukufundisha kuhusu Miungu mingine.Alaa sasa huwajui unatoa wapi nguvu ya kuwaweka hapa?
Mtu ambaye kasihi mazingira ambayo hakuna nyumba hakuna kitu chochote kinachoweza kumfanya apate ufahamu wa kujua nyumbaSiyo sababu ya kiuzoefu tunasema uhalisia yaani kawaida jambo liko hivyo ukisema uzoefu, kwenye huwa kunakukosea na mapungufu kwenye uhalisia hakuna kukosea.
Kwa hiyo dhana ya kuumbwa umeitolea wapi?.
Sijawahi kuona ukiumbwa,
Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?, ila Nina ushahidi wa kuonyesha uliumbwa,
Hahhh Mkuu, unasema "Scientist wanakimonitor hicho kisiwa Ili kujua jinsi life inavyoform bila human intervention "Hebu chek kuna kisiwa kinaitwa "Surtsey"
Kiliibuka kutokana na volcanic eruption, kilikua lifeless. Scientists wanakimonitor kuona jinsi life inavoform bila human intervention. Sive eco system inaanza kujitengeneza, from NOTHING!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaye experience hallucinations kila anachokiona kwake ni real, hana hata uwezo wa kugundua kuwa yupo kwenye tatizo na hivyo kila kitu anachokiona kwake sio halisia.kadhalika uhalisia.
Mkuu, naomba kuuliza...hivi wewe una ushahidi valid kwamba haujaumbwa?Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?
Kwamba nikishindwa kujua dunia imekuwaje basi jibu la kusema Mungu ndio sahihi?Sasa wewe tuambie Dunia imekuwaje ikawa hivi ulivyo.
Kabla hujaniuliza kama nimeumbwa au lah kwanza ulipaswa kufafanua kuumbwa ni niniMkuu, naomba kuuliza...hivi wewe una ushahidi kwamba haujaumbwa?
Ushahidi wa kimaandiko? unahakika gani kama haujawa deluded?Hakuna record wakati wakati Nina ushahidi wa kimaandiko. Kijana uwe unasoma ninacho kiandika.
No hujanielewa, ipo hivi nimeona hapo juu unataka uonyeshwe ushahidi valid kwamba umeumbwa ama la"HIYO TAYARI INAONYESHA WAZI KAMA UNAJUA NINI MAANA YA KUUMBWA"Kabla hujaniuliza kama nimeumbwa au lah kwanza ulipaswa kufafanua kuumbwa ni nini
Siwezi nikakurupuka kujibu swali ambalo hatujakubaliana hata maana ni nini
Swali halijauliza kama ni jambo la kimaumbile au sioHili ni jambo la kimaumbile tayari lipo yaani uhalisia. .