Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,306
Sifa zake yeye ni mwenye upendoSio expectations zangu, bali ni yeye kufanya kulingana na sifa zake
Yeye anaumba anavyotaka na halazimiki kuendana na expectations zakoLabda kama hana uwezo wote
Kama anauwezo wote wa kuumba ulimwengu bora usioruhusu mabaya basi lazima hilo liwezekane
Taja sifa za MunguLabda kama hana ujuzi wote wa kujua ni sehemu gani ubaya unaweza ukapenya ukavuruga kazi yake na kufanya viumbe wake wadhurike.
**********************
Kazi yeyote ambayo inaonesha tatizo au kupingana na sifa hizo hapo juu basi haijaumbwa na Mungu mwenye sifa hizo.
Peponi? Peponi ni wapi?Well, kama unaodefine hivyo ulimwengu huo upo huko tunaita peponi
Kama unamwamini yeye na ukatenda mema ametuahidi tutakaa humo milele na kama humuamini na ukatenda mabaya kuna ulimwengu huo mbaya kabisa na utakaa humo
Milele
Mkuu unanipangia na hoja kuendana na matakwa yako?
Wrong Question
Kwanini aumbe ulimwengu ambao ili kiumbe kimoja kisurvive lazima kingine kife?
Unampangia Mungu?
Hakushindwa ndiyo maana kaumba pepo
Huko zipo raha zote unazoweza fikiria hakuna tabu, machungu, huzuni wala lolote lenye kukuudhi
Kitu gani hakipo kama kilivyo?Uhalisia ni uwepo wa kitu kama kilivyo.
Taja hizo sifa maana ziko nyingiNami siko hapa kutoa ushauri kwa Mungu, nafanya reasoning kulingana na nyinyi jinsi mnavyomueoezea Mungu kwa sifa zake za ukuu.
Nahoji dhana ya uwepo wa Mungu kulingana na sifa mlizompa.
Ni sawa na mzazi ambaye umesimuliwa kuwa ni mzazi bora sana kwa watoto wake. Anawapenda sana watoto wake na hayupo tayari kuona watoto zake wanapata matatizo.
Halafu siku ukamkuta huyo mzazi anawafungia watoto wake wenye umri chini ya miaka 7 kwenye chumba chenye wanyama wakali wakutisha kama mamba, na mijoka yenye sumu kali.
Ukaja ukamuuliza yule mtu aliyekuambia habari za huyo mzazi kivipi huyo mzazi afanye huo ukatiri, ye akujibu kuwa anafanya hivyo kulingana na yeye anavyoona na sio wewe unavyotaka.
Unafikiri utetezi huo unaweza kukubaliwa na mtu gani ambaye rational kuwa huyo mzazi anaupendo wote kwa watoto zake?
Hamna anayekataa na suala la kumzuia mtoto kutumia simu lina-depend na elimu anayotaka kujifunza, turudi kwenye mada, anawezaje kututhibitishia kuwa ni ya kweli, hayo yote aliyoyasoma google na kuamini ni ya kweli angali yeye mwenyewe hakuhusika kwenye hizo practicals?Google ni search engine tu, inayoweza kukupa access ya taarifa mbalimbali.
Unajuaje kama ni kweli na sio jambo ambalo umepotoka?Uhalisia umeonyesha ulimwengu umeumbwa kwa uwepo wake,nidhamu ilivyo, uhalisia na kutowezekana kwake kujiumba au kutokea pasi na chochote.
Kuwa jua linazama kwenye matope.
Ndio vitu gani hivi?.
Taurati, Zaburi,Injili na Qur'aan.
Nami sijasema umekubaliana na uwepo wake 😂Kuhoji sifa ya kitu wala haikuhitaji ukubaliane na uwepo wa hicho kitu
Hakuna mahali nimesema umekubaliana na uwepo wakeHata humu nimeshuhudia wakristo wakihoji habari ya farasi mwenye mbawa aliyetumika kumsafirisha Muhammad kwenda mbingu ya saba
Kuhoji kwao hakukuwa na maana kuwa wanakubaliana na uwepo wa farasi yule au tukio hilo kuwa ni la kweli.
Kama ambavyo uliweza kuhoji habari za pazi aliyebebwa na jogoo kichwa chini miguu juuu, hakikufanya ukubali kuwa jambo lile unalikubali.
Naweza nika hoji kitu ili nikuoneshe kuwa hicho kitu ni uongo tofauti na jinsi kilivyokuwa addressed
Kwa hiyo huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu bila kitu kingine au unaweza?Sijasoma hakuna kutumia vitu vingine elewa nilichokiandika kijana, sababu hata naposema "Self Evident Truth" ujue Kuna vingine vinaonyesha uwepo kingine. Nachopinga Mimi ni Hilo sharti lako la kuexperince kwa namna unavyo elezea wewe Kuna kuwa hakuna maana. Sasa soma ninachokiandika Mimi juu ya vingine na unachoandika wewe juu ya vingine. Vitu viwili tofauti.
hilo la nani kasema ni swali la msingiSwali sio nani kasema
Ujue unapokwama umeshikilia sifa mojaHoja ya msingi ni kweli anasifa hiyo ya upendo wote?
Ni kweli katika vitu allnavyodaiwa kuviumba vinakinzana na sifa yake?
Kwamba kuna scriptures zingine zenye kudaiwa kuwa zimeandikwa na Mungu au watu walioongozwa na Mungu zimeongea uongo?Which scripture?
Maana ulitaja unaowaita Miungu nimeomba ufafanuzi mpaka sasa sijapata
Mimi ninataka uthibitishe huo ubaya unaoujengea hoja si vinginevyoKwani we unajenga vipi hoja mbona hueleweki?
Hoja zako hazioneshi kuwa hakuna ubaya, ila zinaonesha uwezekano wa kutokuwepo kwa aina fulani ya ubaya
Mi najadili ubaya haijalishi kwa kiwango gani
Vitabu vinavyodaiwa ni vya Mungu viko vingiNimeitolea kwenye kitabu kinachodaiwa ni cha Mungu
Unataka ku doubt hilo?
Kinaitwaje?Source ni kitabu kinachodaiwa kuwa ni cha Mungu
Kwa hiyo kumbe vitabu vya Mungu navyo sio vya kuviamini?
Na mi sijasema kuwazidi watu bilion 7Haiwezekani, wewe sio mkuu pengine kuwazidi hata watu Bilioni 7 tulipo duniani
JF kila mtu tunamheshimu kumuita Mkuu hayo maneno yasikubabaishe ni semantics tu
Mimi sijauliza kama Mungu anapangiwa au lahMungu hapangiwi aumbaje, hawajibiki kwako wala kwa yoyote, hahitaji ushauri wala maoni yako ktk uumbaji wake, hahitaji confirmation yako aumbaje, anafanya anavyotaka, yeye ndiye mwenye nguvu kuliko kitu au mtu yoyote unaemfahamu au usiyemfahamu
Na ndiyo yeye kaumba haya yote
Kama nilivosema, google ni search engine tu. Inaweza kukudirect kwenye forums mbalimbali ambazo utakuta wataalamu wa hizo fani ukawauliza maswali ukapatiwa majibuHamna anayekataa na suala la kumzuia mtoto kutumia simu lina-depend na elimu anayotaka kujifunza, turudi kwenye mada, anawezaje kututhibitishia kuwa ni ya kweli, hayo yote aliyoyasoma google na kuamini ni ya kweli angali yeye mwenyewe hakuhusika kwenye hizo practicals?
SijajipingaSa mbona unajipinga mwenyewe?
Jambo ambalo ni la kweliMwanzo umesema watu wanakufa ili kubalnce uhai kwasababu watu wasingekufa ulimwengu usingetosha
Ofcourse, nilikuwa nakuonesha kamq issue yako ni nafasi ya kuishi watu huko mbinguni basi nafasi ni ya kutoshaNilivyokuuliza kuwa huko mbinguni kuna nafasi kuyasi gani kuweza kuhimili watu zaidi ya bilioni 7
Unakuja kusema ulimwengu unatanuka na kuna spaces nyingi ambayo ni kubwa kiasi hatuwezi kuienea yote.
Kwa hiyo nishike lipi?