"Skiliza mkuu Mungu ni mkuu"sikiliza mkuu Mungu ni mkuu sana kiasi hawajibiki kwako wala kwa yoyote
Wewe na mimi ni viumbe dhaifu sana kiasi tukahoji au kujifanya kumhold accountable
Kwa msin Huo Mungu halazimiki kuthibitisha chochote kwako wala kukushawishi chochote wewe ila kwa faida yako tu
Usijipe umuhimu ukadhani ni lazima Mungu aje akuelezee kwanini anafanya anachofanya
Mjumbe wa nyumba kumi hapo mtaanj kwako hakufanyii hivi seuze Mungu?
Ndiyo nakwambia kwakuwa the universe keeps expanding chances are there’s plenty of spaces probably we’ll never be able to fillYou got me wrong
My question was not about how universe expanding
Huko mbinguni unakosema watu wataenda kuna kilomita ngapi za mraba kutosha watu bilion zaidi ya 7?
Uhalisia upo hauhitaji ushahidi kama uwepo wa Dunia, uwepo wako na mfano wa hivi.Uhalisia unaujuaje?
Unajuaje huu ni uhalisia na sio kama umepotoka tu?
Uhalisia unaonesha ulimwengu umeumbwa kwa uthibitisho upi?
Vitabu gani?
Kwasababu ulisema hakuna haja ya kutumia vitu vingine ili uthibitishe kingine basi sitaki hoja kuhusu vitabu nataka uthibitishe Mungu yupo bila kutumia vitu vingine
Which scripture?According to scriptures, Heaven cannot guarantee safe.
Vita ya kwanza ilianzia huko huko
Kwa maana hiyo ni kwamba pepo sio sehemu salama ambayo mabaya hayawezi kufanyika
So rudi tena jibu swali langu vizuri
Haiwezekani, wewe sio mkuu pengine kuwazidi hata watu Bilioni 7 tulipo duniani"Skiliza mkuu Mungu ni mkuu"
So mi na Mungu wote ni wakuu
Nimekujibu ila tu hujapenda jibu languSwali langu hujajibu
Mungu hapangiwi aumbaje, hawajibiki kwako wala kwa yoyote, hahitaji ushauri wala maoni yako ktk uumbaji wake, hahitaji confirmation yako aumbaje, anafanya anavyotaka, yeye ndiye mwenye nguvu kuliko kitu au mtu yoyote unaemfahamu au usiyemfahamuKwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.
Mpaka uwe hivi ulivyo?
Vitu vilitungwa tu. Imani ilianzia pale watu walivokua hawana majibu ya maswali yao. Haswa lile la "tumetokana na nini"Sasa unaponukuu weka na vifungu ili iwe unaenda kisomi mzee
Wakishafufuka hao watu nini kinafata ?
Nataka nione mwisho wake kuwa wataenda peponi au ndio inakuwa imeisha
Maana mwanzo ulisema akifa ndio imeisha
Anhaa kumbe itaendelea…
Kwahiyo wadhambi watakufa tena[emoji23]
Halafu kuna watu wataenda peponi… okay okay (hapa ndipo nilikuwa napataka)
Vizuri sana, kwahiyo ulipoambiwa mbinguni ulidhani ni wapi?
Hili suala lq mbinguni ni wapi ni debatable
Kwa waislam ni kwamba mtu mwenye malipo madogo kabisa atalipwa sehemu yenye ukubwa wa mara kumi ya dunia hii (ibn masuud, sahih muslim)
Sasa hapo ni wazi kuwa sio duniani
Nani alitunga?
Hiyo ni short list ya Miungu kuna zaidi ya hapo nimefanya tu kufupisha.Hebu nitajie hao mmoja mmoja unaavyowaelewa
Hujajibu swaliVitu vilitungwa tu. Imani ilianzia pale watu walivokua hawana majibu ya maswali yao. Haswa lile la "tumetokana na nini"
Hizi asilimia umezitoa wapi???Kumbuka zaidi ya 90% ya historia ya binadamu imepotea/haikutunzwa.
Ni kweli.Ila kidogo tunachojua ni kua, kulikua na imani/dini nyingine mbali na hizi za kiabraham (ukristo, uislam na uyahudi). Kila watu walikua wanatunga dini zao, hata waafrika sisi tulikua na dini zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki ndefu nimeuliza hii hii fupi unieleze unavyowajuaHiyo ni short list ya Miungu kuna zaidi ya hapo nimefanya tu kufupisha.
Alaa sasa huwajui unatoa wapi nguvu ya kuwaweka hapa?Siwezi kukutajia mmoja kwasababu wote siwajui hivyo kama kwenye hiyo list kuna Mungu wako mchague halafu unipe sababu kwanini hao 4,999 wawe ni Miungu ya uongo
Mifano ya kitoto sana....Salaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Mtu anayesema nyumba inajengwa anakuwa na sababu ya kiuzoefu na hicho kitu inayomsapoti hoja yake kuwa nyumba zinajengwa.
Wewe unayesema ulimwengu umeumbwa, wapi uliwahi kushuhudia ulimwengu ukiumbwa ili iwe rahisi kufikiri huu ulimwengu nao uliumbwa?
Sio expectations zangu, bali ni yeye kufanya kulingana na sifa zakeAlaa
Nani kasema kuwa hawezi? Mkuu Mungu halazimiki kuendana na expectations zako
Maana yeye ndiye anayepanga na wewe haupo hata kwenye nafasi ya kumshauri
Wewe sio wa kupanga, hapo ulipo huwezi hata kutengeneza system yenye mfano wake unapata wapi uhalali wa kumpangia kwamba lazima awe ABC ndio awe hivi
Swali la "nani alitunga?" Nimelijibu. Nimesema "hatuna historia ya kutosha kujua ni nani alitunga hizi dini" kwasababu kwanza kuna maelfu ya dini, hatujui kila dini imetungwa na nani...Hujajibu swali
Nani katunga?
Hizi asilimia umezitoa wapi???
Ni kweli.
Hakuna record wakati wakati Nina ushahidi wa kimaandiko. Kijana uwe unasoma ninacho kiandika.Utasemaje kuwa kitu fulani kimeumbwa wakati hakuna records yeyote iliyowahi kutokea kuonesha uumbaji upo ili kui support kauli yako?
Ina maana Mungu hawezi kufanya anavyo vitaka bila kuhusisha ubaya?Hana sababu kivipi?
Yeye ndiye muweza wa yote yani anafanya anachokitaka
Nani kasema analazimika na chochote?
Yeye anafanya anachokitaka kwa namna anayoitaka hana wa kumhoji wala wa kupinga mipango yake
Hata wewe Scars huna cha kumfanya unaweza kuwa hupendi kufa lakini alishapanga kuwa utakufa na kweli utakufa na hakuna kitu unaweza fanya😂
Tatizo ninaloliona ni kuwa unadhani u are in a position to bargain with God aendeshe vipi mambo yake, i hate to break it to u, U are not!😂
Kwa hiyo huu ulimwengu hauna mabaya?Hakushindwa mkuu
Hujajibu swali
Nani katunga?
Hizi asilimia umezitoa wapi???
Ni kweli.
Wakati anaumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya alikuwa ana upendo wote au hakuwa nao?Ila Kaamua aumbe Dunia ambamo tutaishi kwanza kisha kuna Pepo na moto
Dhana ya kumbwa au kujiumba umeipatia wapi?
Umeona namna unavyoifunga hoja yako kwenye sehemu ndogo unayoilazimisha kuwa majibu yapitie sehemu hiyo?
Mimi kabla ya kutaka kujua umejiumba au haujajiumba naomba unipe maana ya kuumba na kuumbwa kwanza.
Halafu unipe na mifano inayopimika kuonesha mchakato wa kuumba ukifanyika