Athari ya ng'ombe kula kondo baada ya kuzaa

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
---

๐Ÿ„๐Ÿ“Œ ELIMU KWA WAFUGAJI
โ— ATHARI ZA NGโ€™OMBE KULA KONDO LA NYUMA BAADA YA KUZAA

---

๐Ÿ” Tatizo ni nini?
Ngโ€™ombe kula kondo la nyuma ni hali hatari kiafya. Inaweza kusababisha:

---

โŒ Madhara kwa Mnyama:
1. ๐Ÿ’” Kupungua kwa utoaji wa maziwa
2. ๐ŸŒก๏ธ Homa na kukosa hamu ya kula

---

โœ… Nini Cha Kufanya?
  • Mpatie antibiotics (kwa ushauri wa daktari)
  • Tumia dawa za kupunguza homa
  • Mchome oxytocin hormon

---

๐Ÿ“ž Kwa Matibabu na Ushauri:
Dr. Gilliard โ€“ Daktari wa Mifugo
๐Ÿ“ฑ 0674740836 | 0792263640

---

Lishe bora, usafi, na uangalizi โ€“ ndiyo kinga ya mnyama wako!
 
Kwanini inatokea baadhi ya Ng'omne kula kondo. Je inatokea kwa bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ