Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,134
- 62,153
Kuna faida kubwa sana kwa kijana kuoa mapema,moja wapo kuondokana na Zinaa)Unakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha.
Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema, kutokana na kujibebesha majukumu ambayo bado kuyapangilia.
Nashauri vijana tuoe tukishakuwa na uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku, hakuna mapenzi yasiyohitaji hela; lasivyo utapigiwa mpaka uchanganikiwe.
Ndio, yaani ukiwa na miaka arubani na huna mtoto umepata hasara ya maisha hata km unapesa vipi, umri wako tayali unakua umeenda sana Kwa wew kuihudumia familia yako. Watoto wako utawalea ukiwa babuMkuu sometimez vijana wanawahi kuoa kutokana na influence ya wazazi au watu wa karibu..utasikia wewe ngoja ushtuke una miaka 40 huna mtoto wala nn
Daah kwa mimi maisha yawe magumu au mepesi pisi kali ni lazima.Hakuna uhusiano wa maisha na kuoa,tafuta size yako,tatizo unataka pisi kali na maisha ya kuunga
Ila pia ukioa mapema makes more sense.otherwise utatumia pension kusomeshea,hiyo ni hatari zaidi asikwambie mtuUnakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha.
Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema, kutokana na kujibebesha majukumu ambayo bado kuyapangilia.
Nashauri vijana tuoe tukishakuwa na uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku, hakuna mapenzi yasiyohitaji hela; lasivyo utapigiwa mpaka uchanganikiwe.
Oa mapema mkuu usiwe na hofu ya ridhiki,hakuna kiumbe anatoa ridhiki ispokuwa muumbaji tu...Mbona mnatutisha ambao hatujaoa na tunapenda kuoa ila kesho yetu ni ya kuungaunga sana, umri nao unasogea, tufanyeje sasa
Kuchelewa kuoa Ni kujichelewesha kuanza majukumu.Nakuchelewa kuanza majukumu maana yake Ni kuchelewa kumaliza majukumu.Oa ukiwa bado una nguvu ya kupambana kutafuta pesa na kulea watoto.Cha msingi Ni kutafuta mke mwenye akili ya maisha na sio wale wakaa vibarazani kupaka inna na kupiga umbea..Unakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha.
Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema, kutokana na kujibebesha majukumu ambayo bado kuyapangilia.
Nashauri vijana tuoe tukishakuwa na uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku, hakuna mapenzi yasiyohitaji hela; lasivyo utapigiwa mpaka uchanganikiwe.
Mtoa mada hajawa specific kuoa mapema kuanzia umri wa miaka mingapi minimum ,na kuchelewa kuoa n miaka mingapi maximum,mn kuna vijana wanaoa ana miaka 16 au 17 hzo zinaitwa ndoa za utotoni je nako nikuwahi kuoa?Kuchelewa kuoa Ni kujichelewesha kuanza majukumu.Nakuchelewa kuanza majukumu maana yake Ni kuchelewa kumaliza majukumu.Oa ukiwa bado una nguvu ya kupambana kutafuta pesa na kulea watoto.Cha msingi Ni kutafuta mke mwenye akili ya maisha na sio wale wakaa vibarazani kupaka inna na kupiga umbea..