Ateba achungwe sana...

Huyu β€œATEBA” wamchunge sana ataua wengi sana msimu huu katika NBC Premier League na hii michuano ya CAFCCL. πŸ™„πŸ“ŒView attachment 3104225
Ni kawaida sana kwa mashabiki wa Simba ndio maana wakaitwa mbumbumbu. Onana alifunga goli mbili dhidi ya Wydad wakaimbishwa wimbo mpya wa kumuona ni bonge la straika na ikafikia hatua hadi kuomba msamaha kwa Onana kwa kumkosoa
 
Ana kipi cha ziada? Goli alilofunga kapewa na beki wa Ahly, ulitaka afanyaje pale?
Wale akina Mzize na Dube wa kukosa nafasi 7 za wazi, Kisha kufunga nafasi ya 8 pale wangekosa.

Ila kwa Ateba ukijichanganya kosa moja tu, anakuadhibu.
 
Uto watapinga hadi liwakute Jambo. Bado wandhani kuna wala rushwa pale simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…