Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Alitoa hela zake mfukoni? Acha wazimu wewe mdudu, hizo ni hela zetu za kodi.Ndege kanunua mwenyewe tena kwa cash sasa unataka hata kupanda nayo ajinyime!?
Hela alitoa wapi?Alitoa hela zake mfukoni? Acha wazimu wewe mdudu, hizo ni hela zetu za kodi.
Huo ni mwanzo tu , subiri kampeni za uchaguzi zianze utatua hata maporini .Dege kubwa la abiria..
Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda kutamba na vi-Premio vyetu..
Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dege dude lile...
Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua ndege ya kubeba abiria 260, akaenda kutembea nayo kijijini? Isitoshe huyu ana ndege zake na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..
Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.
ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda...
Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅
Kaona kabla haija chakaa na faida haitotia apande mwenyewe .Dege kubwa la abiria..

Mimi nilipoona tu zile suti oversize, nikajua nchi iko mikononi mwa washamba!Tumekabidhi nchi kwa wash......!!!
Hizo ndege zinafanya biashara,Rais anapoichukua kwenda nayo Chato haichukui bure bali inakodiwa kwa ATCL na Hivyo ATCL inapata mapato.Hata wewe ukihitaji kukodi kwenda nayo kwenu unapewa ili mradi ulipie tu,na ndiyo biashara.Safari za ndege zina utaratibu wake huwezi ukaamka leo ukasema narusha ndege kwenda ulaya au china,kuna process ya kufata kuhusiana na vibali vinavyotolewa na taaasisi za anga za kimataifa kwenye routes na ratiba ya Chinas tayari ipo karibu kwenda kwenye mji wa Gwanzhou pamoja na India.wewe kuwa mtulivu utaona shirika litakavyopaaDege kubwa la abiria..
Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda kutamba na vi-Premio vyetu..
Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dege dude lile...
Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua ndege ya kubeba abiria 260, akaenda kutembea nayo kijijini? Isitoshe huyu ana ndege zake na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..
Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.
ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda...
Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅
Jinyongeni na wivu wenuMaskini akipata
Taarifa nilizonazo zinasema kuwa ndege hiyo ilikodiwa na serikaliDege kubwa la abiria..