esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 555
kweli kabisa wanasitahili pongeziHongera kwa serikali yetu chini ya Uongozi wa JPM kwa kufanikisha hayo. Tanzania yenye maendeleo lukuki inawezekana
hahahahahahahaha!Eti kiapasua anga. Itatumia shoka kupasua anga? wenzio tumezoea kupasua kuni
Yap! Ni heri ya mego kavu pamoja na amani kuliko lilotoelewa pamoja na masimango!!Hongera ATCL nyumbu hawapendi habari nzuri kama hizi na hawawezi kucomment
kweli kabisa wanasitahili pongezi
Ni typing error nauli zote ni oneway,Hiyo nauli ya USD 455 return trip ni ndogo kupita maelezo. Ilitakiwa angalau USD 1,000. Ni hasara.
Watu kam wewe huwa siwapendi kabisa, sa kama hatuwezi ulitaka tufanye kitu gani. Maan hatukuwa na ndege mlisema hatuna ndege, tumenunua ndege mnasema hatuzihitaji, yaan kuongoza watanzania ni kazi Ngumu bora uwe kiongozi wa sokweTulikuwa na ndege 9 mpya za kisasa, tulishindwa. Leo tunazo 7, tunaamini tutafanikiwa kwa vile tu Rais ni Magufuli?
ATCL hawajatoa hata dola 1 kununua ndege, wamekodishiwa na serikali, lakini hasara bilioni 18.
Hata miaka 6 ijayo, kamwe ATCL hawataweza kutengeneza faida hata ya dola 1. Hatuyasemi haya kwa sababu ya kuichukia ATCL, serikali au Magufuli bali kutokana na ugumu wa biashara ya usafiri wa anga.
Hakuna atakayekwenda India kwa $1000 kwa shirika amateur kama ATCL.Hiyo nauli ya USD 455 return trip ni ndogo kupita maelezo. Ilitakiwa angalau USD 1,000. Ni hasara.