Kuna huduma muhimu eg afya nk. Usafiri wa anga haijawahi kuwa huduma stahiki kwa kila raia. Kama unafikiri kuna serikali duniani itakupa huduma ya usafiri wa anga basi utasubiri mpaka kiama.

Mazee kwani nani kasema ndege ni anasa? Na mimi nitakwambia ndege USA uone wafanyakazi wanavyolipwa vizuri. Issue ni kuwa sisi bado tuko nyuma kimaendeleo na purching power yetu ni ndogo. Huwezi kufananisha purchasing power ya States na ya kwetu.