ATCL BADILISHENI

george tiru

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
200
Reaction score
147
Kwa haraka haraka unaeza fikiri ni Air Turkey au Emirates, hivi hakuna watanzania wazawa wakafanya hilo tangazo basi hata mngemweka LUKAKU au Drogba!kuna tangazo lenu binti analeta kinywaji kwa abiria lakini yawezekana kweli ni Mtz wa kuandiskishwa ila limepoteza maana kwa mtu akiangalia ghafla hawezi jua km ni ATCL, fanteni vitu kwa uhalaisia wake,kwanza halina mvuto.
 
Mkuu una undugu na marehem Rev. MTIKILA?

Nakumbuka alimuwashiaga pira Richa Adhia sio kdogo
 
Unaposema Air Turkey unamaanisha nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…