Yote tisa, Kumi naliona pipa aina ya Airbus A380 likiingia kwenye fleet za ATCL baada ya Dreamliner kuanza kazi. Mafanikio huanza kupangwa kwenye ndoto na inawezekana kabisa kwa Tanzania. Tuanchane na zile tabia zetu za mizaha mizaha tu.

Rudia kusoma ulichoandika uone kama kina maana yoyote zaidi ya ushabiki tu. Fanya kazi usingoje migao vinginevyo utaishia kulalama tu wengine wakipeta pale ambapo wewe unadhani unaibiwa.