ATC yarejesha huduma Kigoma

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Shirika la ndege Tanzania AIR TANZANIA hatimaye limetangaza kuanza safara zake za Kigoma - Dar wiki kesho.
 
Vp wao wanauza shilingi ngapi ndege zao? Nina 1m nitapata ndege mbili?
Kaka zile za laki tano zimeisha labda jaribu zile wizara ya kilimo na mifugo imebaki moja. By the way kuna ile mwanza airport unaweza ifanya hotel kamuone mzee Dr anaweza kukukodisha
 
Jamaa wana bei kali -hawa jamaa fast jet hawatupii macho na Kg
 
Jamaa wana bei kali -hawa jamaa fast jet hawatupii macho na Kg

Ila Nafuu kuliko precision, wao ni about 450,000 while precision ni 586,000 na bado watakufaulisha Mwanza. Safari ya 2:45 unatumia hadi masaa 5.

Wanaanza tarehe 10 jan, precision wanaanza tarehe 15 jan
 
Precision nao wametangaza kurudisha huduma zao Kigoma. Kwa hiyo, ATCL na Precision watakula sahani moja Kigoma!
 
Ama kweli ndege bado anasa bongo hiyo si nauli ya dubai
 
Precision nao wametangaza kurudisha huduma zao Kigoma. Kwa hiyo, ATCL na Precision watakula sahani moja Kigoma!

Wote wezi, waache waie na vipofu siku kipofu akishtukia sijui itakuwaje
 
450,000 jamani bado kubwa sana. Labda other companies wakianzisha safari za Kgm itapungua kidogo. Mvua na radi kinoma!
 
Kaka zile za laki tano zimeisha labda jaribu zile wizara ya kilimo na mifugo imebaki moja. By the way kuna ile mwanza airport unaweza ifanya hotel kamuone mzee Dr anaweza kukukodisha

Hehehehe airport ya mwanza haifai kuwa hotel labda guest house...halafu jiji la pili tz....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…