Atakuwa nazo tu hakuna namnaHivyo vya kumnunulia nguo mtoto za kukua nazo wala hata sitaki hata kusikia.
Mm mtoto wangu kuna nguo nilimnunulia wakati anamiezi 3 lakini mpaka leo anamiaka 4 lakini bado hazimtoshi.
Kuna vitu vingine ni kujiendekeza umaskini unakuta mtu mwingine anamnunulia mtoto wake nguo za kukua nazo na wakati huo anakuta anamtoto.Atakuwa nazo tu hakuna namna
Na maisha?watu wako serious sana
Hasa upepo wa sasayah wanaendana na upepo wa maisha tu
Kwa vibanio hivyo nadhani hata baada yaahuyu keshapiga hesabu hadi Mau aondoke 2025