atakayekuwa interested

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
wadau nimepewa data na jamaa yangu mmoja anauza trekta yake horsepower 61 pamoja na trailer lake,lipo iringa,model yake ni SHILLER,lipo iringa ifunda,halijawahi kutumika kwa kulimia linavuta trailer tu kwa ajili ya shughuli za bustani hivyo bado lipo katika hali nzuri.anayehitaji au anayejua muhitaji awasiliane kwa namba hii 0717567879.bei ya jumla trekta + trailer=20mil,maelewano yapo kwa muhitaji,document zote muhimu zipo.picha sina sababu nimetumiwa taarifa tu na mimi nipo dar ila huwa nafanyia shughuli zangu iringa hivyo naweza kuzipata hivi karibuni.asante
 
Habari yako?

Hiyo trekta ipo na majembe yake yote pamoja na harrow?

Kwa nini haijatmika kulimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…