Atakayefanikiwa kudukua (hacking) simu za iPhone kulipwa Tsh. Bilioni 2

Kwani haina backdoor ? Udukuzi sio lazima ufanyike within mara nyingi unafanyika kwa uzembe wa mtumiaji na lazima kuwe na balance between matumizi na security.., security ikiwa kali sana inaleta kero kwa mtumiaji
 
Wale wazee wa kile chama tangu uhuru badala ya kutumia iPhone wao wametumia kitochi. Ndo mana kumbe wamedukuliwa kipindi kile wanamteta mkulu.
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
hakiwezi na kama utaweza APPLE wamesema watakupa 2 BILLION..fanya kujaribu mkuu na usinisahau ktk ufalme wako wa udukuaji.
 
Niliishiiaga na brick phone wakati najaribu huu mpango. Mtu anipe simu yake tujaribu.
 
soon tu masela wanabeba hiyo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…