nimekuelewa dada angu, nawaelewa wote, mimi niko inquisitive sana kujua,
kwa maelezo yako utaona unajichanganya, mlevi - anajifanya kalewa, oukey na alisimama tu nyuma yako sijua how intimate was it, ila alisimama nyuma yako,,hafu huyu mtu tuasume ni mlevi, sasa jama mtu mlevi kwa ufupi hawezi kuwa representative wa wanaume kama umesoma kidogo utaelewa haya, hiyo ni case senarior incidental wapo wanaume wangapi walevi ulowahikuta wana hilo jambo ulilohisi,, maana coz hujasema point ya msingi, kwamba labda alidindisha nyuma yako au niaje sijaelewa! hivo basi naomba pia nikupe senario ambayo nilikutana nayo kwa gari,,,
dada/mama moja ako range ya 28-30 nilipanda nae kwa dala sasa tulikua tit mbaya si najua tena safiri zetu, basi mwanamke wa watu gafla tu kapiga kelele na matusi we mwanaume unanifanya nini gafla tulokua karibu tukatanabahi,, binafsi nilkua karibu nao ila nilipata sit, mwanamke alilalama ati mwanaumea alikua anamwingiza nyuma, sasa at the instant tu alipiga kelele tulokua karibu tuliwaangalia wote, basi tukauliza sasa wewe huyu mwanaume alikua anakuingiza hata hajadindisha ilikuaje, maana kila mtu aliangalia hata dereva kusimamisha gari,, basi mwisho ikagundulika ni hisia tu za mwanamke yule kijana wa watu wala alikua hajadinda,, tulimwonea huruma, naomba niwatahadharishe,kwa mtu mwenye akili, mambo yanahitaji ushahidi,, sio hisia yawezekana yule mwanamke ni mtu wa ku 0713 na hisia zake, hili huwa linawatokea kwa mujibu wa psychologia,, peruzi kwa internet upate ufahamu, yani inaweza kuwa Post Traumatic Disorder au mambo ingine,,,, tafadhali ebu pata picha kama huyu kijana wa watu angelikua na mke wake au mwanae, hizo tuhuma zingeathiri vipi maisha yake ukizingatia ni za uongo? sipati picha kama angekua mumeo au mwanaume wako umpendae afu akasingiziwa hafu mlivo wa ajabu ata hampendi kusikiliza mpate ufafanuzi ,,,
namalizia kwa kusema, ndiyo yaweza ikatokea, nina ushahidi positive ila si katika mazingira mnayotaka kuyajena mwanaume kumtamani mwanamke kimazingira,, kuna vichocheo, labda pombe madawa ya kulevya, upungufu wa akili, over attraction japo kama ni mtu mstaarabu anaweza akaomba kushuka kama uzalendo unamshinda,,
nawapenda dada zangu maana ninae dada,, siwapendi wadada wanaosingizia mambo yasio na ukweli maana hata dada zangu hawafanyi hivo
stay blessed