M mutimba Member Joined Feb 15, 2014 Posts 19 Reaction score 0 Mar 19, 2014 #1 Tablet yangu haikubali kutuma/kupokea mafaili kwa njia ya bluetooth pamoja na kuwa uwa imeunganishwa kwenye kifaa kama Kompyuta au simu ninayotaka kutuma faili! Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo haya hapa JF!
Tablet yangu haikubali kutuma/kupokea mafaili kwa njia ya bluetooth pamoja na kuwa uwa imeunganishwa kwenye kifaa kama Kompyuta au simu ninayotaka kutuma faili! Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo haya hapa JF!