Kuna kituo kiitwacho African Swahili TV (ASTv) ambayo ilikuwa inarusha matangazo yake kupitia Azam decoder, hata hivyo ktk siku za karibuni kituo hicho hakipo tena Azam. Wadau, nifahamisheni kimehamia ktk kisimbuzi kipi?
Vv
Sent using
Jamii Forums mobile app