Beberu Mwitu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2019 Posts 495 Reaction score 708 Sep 7, 2019 #1 Habari, Kwa wale walimu,naomba kufahamishwa kidogo juu ya hii Astahahada ambayo nimeona inatolewa pale Dakawa TTC. Je,walimu watakaosoma hiyo kozi hawataruhusiwa kufundisha shule za Serikali zisizotumia lugha ya Kiingereza? Na,je,kuna shule zozote za Serikali zinazofundisha kwa kutumia lugha ya Kiingereza pekee? Nawasilisha
Habari, Kwa wale walimu,naomba kufahamishwa kidogo juu ya hii Astahahada ambayo nimeona inatolewa pale Dakawa TTC. Je,walimu watakaosoma hiyo kozi hawataruhusiwa kufundisha shule za Serikali zisizotumia lugha ya Kiingereza? Na,je,kuna shule zozote za Serikali zinazofundisha kwa kutumia lugha ya Kiingereza pekee? Nawasilisha