ASTAGHFIRULLAH Niweke wapi sura yangu kesho mie !

Kesho uje na ripoti ya yule sheikh wa mapanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, mkaenda kumnyoa akapaka na mafuta akaja kukanusha maneno yake mwenyewe ๐Ÿค ๐Ÿค 

NB: siyo kukanusha tuu alikataa kuwa yule wa mwanzo sio yeye
 
Kitakachotia doa hiyo taarifa ni kuhoji sababu za kutuma watangulizi wa kuiongelea ripoti kabla ya kutoka na kutoa maneno ya kuwaandaa watu kisaikolojia

Mbona Tume nyingine hazifanyi hivyo?
 
Kitu kibaya cha kuumiza kilichotokea mo29 ni mauwaji ya kimbali hayo mengine yote ni minor
 
Kwa hali hii ccm itaendelea kutawala milele
 
Au sio?
 
JF bado haijaacha kua na nyuzi za mtindo huu?
 
Naendelea kuwapongeza wanaofuatilia CCM na upumbavu wao.
 
Waziri Mkuu Mh Mwigulu Nchemba anaposema wapo watu kutoka Nje walilipwa kuja kuongeza nguvu kufanikisha MAPINDUZI yale,watu walimbeza sana.
๐Ÿšฎ
Ni majuha pekee wanaoweza kuamini huo uzushi.

Ccm na uongo ni ๐Ÿคž
 
Mtoa mada jitahidi kidogo watu wasijue kuwa huna akili , mipango ya kuua watu 29 ilipangwa na serikali Haramu maana bila kufanya hivyo walikuwa hawana Chao
Matukio ya utekaji yaliwapa hasira wananchi
Kufichuka kwa ufisadi mkubwa uliwapa hasira wananchi wakatai haki yao
Watu hawakupiga kura afu kenge zinakuja kusema 97 kashinda
Huyo raisi amekalia kiti Chenies damu ya watoto waliokuwa majumbani mwao wakicheza walipigwa risasi
Walala hoi wengi walioawa wakitafutia watoto wao Tonge wakati viongozi wamejifungia ndani na watoto wao
Kwanini watoto au ndg wa viongozi hawakufa viongozi naimani walipewa taarifa mapema kbs kuwa kuna shoot to kill masikini damu za watu wasio na hatia wamekufa vibaya kwa risasi za vichwa , tumbo, mgongoni aseee
Maiti ziko wapi?? Mtawajibu nini wananchi ?
 
Mliua wangapi?
Miili mlipeleka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ